Other languages…

Tarehe 17 mwezi wa 10, 2011 shughuli ya kijamii katika eneo la Kisanga
Mwaka huu tunasheherekea siku ya kutokomeza umaskini uliokithiri si tu kwa kupitia kusanyiko hili dogo la watu kwa shuhuda, mashairi, ngonjera, n.k. Pia tunaadhimisha kwa vitendo kwa kuungana na jamii katika shughuli ya kijamii ambayo kati yenu tayari mmeshashiriki jana na leo…Jarida la Aprili 2012
Kwenye warsha ya ATD Dunia ya Nne mwezi Aprili, "Tufanye kazi pamoja kama washirika walio sawa", tutawaleta pamoja watu wanaoishi kwenye umaskini uliokithiri na watu wenye nyadhifa katika nyanja mbalimbali ili kushirikishana mawazo na uzoefu wao. Warsha itashereheshwa na maneno ya mwanzilishi wa ATD Dunia ya Nne, Joseph Wresinski, na raisi wa kwanza wa Tanzania, Julius Nyerere, ambao wana mawazo yenye mvuto na yanayofanana kuhusu umaskini…« La Gazette » N°3 Februar 2012
Verbindungsblatt der Bewegung ATD Vierte Welt in Europa
Diese Gazette versteht sich als ein Hilfsmittel für den Einstieg in diese Dynamik der weltweiten Mitgliederversammlung. Wir wollten einigen von uns das Wort geben, damit sie uns darüber berichten, wie sie ihr Engagement leben. Worüber empören sie sich? Wie stärkt sie diese Empörung, wie trägt sie dazu bei, dass sie sich einsetzen und handeln?Other files
简体中文
第四世界非政府组织










